Matumaini mapya Mv New Mwanza ikianza safari kuelekea Bukoba
Mwanza. Matumaini mapya yameibuka katika Jiji la Mwanza baada ya meli mpya na ya kisasa nchini, Mv New Mwanza, kuanza safari yake ya nne ya majaribio kuelekea Bukoba mkoani Kagera inayotarajiwa kuthibitisha ukamilikaji wa asilimia 100 wa mradi huo wa ujenzi. Akizungumza leo Jumapili Septemba 21, 2025 kabla meli hiyo kuanza safari ya Bukoba, katika…