Ligi ya Kriketi Wasichana nguvu yahamishiwa Dodoma
CHAMA cha Kriketi nchini (TCA) kimeazimia kulifanya Jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya mchezo wa kriketi na kuzidi kuhamasisha hasa wanawake kushiriki. Mkufunzi wa Kriketi Dodoma, Benson Mwita alisema wanataka kuhakikisha mchezo huo unakuwa kati ya inayopendwa na wanawake shuleni. “Mwitikio wa vijana ni mkubwa na wengi, hasa wasichana wametokea kuupenda mchezo huu. Naamini…