Dk Bagonza afichua walichokubaliana na Askofu Munga kabla ya kifo
Dar es Salaam. Baada ya kifo cha Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga, Askofu Dk Benson Bagonza amesema walikuwa wamekubaliana kuzikana endapo mmoja wao angefariki dunia kabla ya mwenzake. Dk Munga amefariki dunia alfajiri ya Jumamosi, Septemba 20, 2025, majira ya saa 9:30, akiwa…