Sekondari ya Wasichana Joy: Kisima cha ujuzi kwa viongozi wa kesho
Mbeya. Sekondari ya Wasichana Joy ni taasisi binafsi changa yenye dira kubwa katika sekta ya elimu nchini Tanzania. Inamilikiwa na Titho Tweve, ambaye pia ndiye Mkurugenzi Mkuu. Shule hii imejipambanua kuwa nguzo ya elimu bora sambamba na malezi ya kiroho kwa watoto wa kike. Akizungumza na Mwananchi, Meneja wa shule, Augustino Daudi, anasema taasisi hii…