Goti la uchumba la mwanamume mjadala mpana
Dar es Salaam. Ilikuwa siku ya furaha, lakini tukio la Steven Mabula, kupiga goti mbele ya Marietha Lazaro alipomvisha pete ya uchumba, lilitia doa hafla hiyo. Wapo walioelewa ishara ya tukio hilo, lakini haikuwa hivyo kwa baba wa Steven. Aliamini kijana wake amekiuka misingi ya mila na desturi. “Nilipiga goti bila kufahamu ishara hiyo ina…