Bado Watatu – 34 | Mwanaspoti
BABA akasema: “Wewe ukisema unamtuhumu mke wako, sisi tutatoa sababu za kukutuhumu wewe. Sasa ukweli wataujua polisi. Nyote mtapata shida, kwa sababu kama ni kesi itawahusu nyote — hasa wewe, Sufiani!”Sufiani akanyamza kimya.Hapo simu yangu ikaita. Nilipotazama skrini ya simu, nikaona jina la Raisa. Nikajisogeza pembeni kidogo kisha nikaipokea.“Hello… Raisa, vipi?”“Nimepata taarifa ya kunishitua, shoga…”…