FCC, ZFCC ZASAINI MKATABA KULINDA USHINDANI WA HAKI SOKONI

:::::::: Tume ya Ushindani (FCC) ya Tanzania Bara na Tume ya Ushindani wa Haki Zanzibar (ZFCC) zimetia saini mkataba wa makubaliano wenye lengo la kuhakikisha kuwepo kwa mazingira ya ushindani wa haki katika masoko na kulinda maslahi ya walaji ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Makubaliano hayo yamelenga kuimarisha ushirikiano wa kisheria, kitaalamu na…

Read More

DK.SAMIA AWEKA MKAKATI WA KUIREJESHA TANGA YA VIWANDA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Tanga MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema endapo akipewa ridhaa ya kuliongoza Taifa, amedhamiria kurejesha hadhi ya mkoa huo kuwa wa viwanda. Ametoa kauli hiyo leo Septemba 29,2025 alipokuwa akizungumza na maelfu ya wananchi katika mkutano huo uliofanyika katika Uiwanja vya Usagara mkoani Tanga ambapo…

Read More

MENEJA WA TRA KILOMBERO AHIMIZA ULIPAJI KODI KWA HIARI

Kilombero  Wakati awamu ya tatu ya kulipa Kodi ikitarajiwa kuhitimishwa hapo kesho tarehe 30.09.2025, Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro Bw. Innocent Minja amewataka Walipakodi ambao bado hawajakamilisha malipo ya Kodi zao, kulipa kwa hiari ndani ya muda uliosalia. Akizungumza na Walipakodi wakati wa zoezi la elimu ya Kodi…

Read More

Jipange na gharama hizi za matibabu ya moyo, usipoacha haya

Dar es Salaam. Kama huzingatii ushauri wa wataalamu juu ya kubadili mfumo wa maisha, upo hatarini kupata maradhi ya moyo ambayo kulingana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) matibabu yake ni hadi Sh30 milioni. Maradhi mengine ambayo wataalamu wanaonya kuathiri moyo, ni shambulio la moyo ambayo matibabu ni Sh6 milioni kuzibua mshipa mmoja, kuwezesha…

Read More

MUHIMBILI YAANDIKA REKODI YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI, WATOTO 103 WAPANDIKIZWA VIFAA VYA KUSAIDIA KUSIKIA

Katika kutekeleza azma ya mageuzi katika sekta ya afya nchini, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeweka historia kwa kuwa taasisi ya kwanza Afrika Mashariki kufanikisha upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia (cochlear implant) kwa watoto 103 ambapo hatua hiyo imeshuhudiwa leo Septemba 29, 2025, baada zoezi la vifaa 16 kuwashwa rasmi kwa watoto waliokuwa wakisumbuliwa…

Read More

Magonjwa, dawa na kelele vyatajwa vyanzo upungufu wa usikivu

Dar es Salaam. Watoto 16 wenye changamoto ya kusikia, wenye umri wa chini ya miaka mitano, wamepatiwa vifaa maalumu vya kusaidia kusikia (cochlear implant) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Kupewa vifaa hivi ni kutokana na kuongezeka kwa matatizo ya usikivu nchini, ambapo takwimu zinaonyesha kuwa kwa kila watoto 1,000 wanaozaliwa nchini, wawili wanakutana…

Read More