Phiri aipa ujanja Simba Afrika
SIMBA imetabiriwa inaweza kufanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, lakini iwapo tu, wachezaji wa timu hiyo watakuwa tayari kupambana kwa jasho na damu wakijengwa na utulivu utayari, uzalendo na kulinda viwango vyao kwa kuzingatia vitu vya msingi. Ujanja huo umetolewa na nyota wa zamani wa kikosi hicho, Mzambia Moses Phiri alipozungumza na…