Ndoa za utotoni bado tatizo, wadau waendelea kupambana
Dodoma. Wazazi wametajwa kuwa chanzo cha ukatili kwa watoto wao na mara nyingi kushindwa kupata taarifa sahihi za matendo wanayotendewa watoto katika jamii. Kauli hiyo imetolewa jana Alhamisi, Septemba 17, 2025 jijini Dodoma na Naomi Maswaga kwenye mkutano wa pili wa mwaka wa jukwaa la Msichana Café unaodhaminiwa na shirika lisilo la kiserikali la Msichana…