Mtego nusu fainali Ligi ya KIkapu Dar
MACHO na masikio ni kwa miamba minne wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL) na zinasubiriwa mechi za kuamua timu zitakazotinga fainali, huku Dar City ikimenyana na Stein Warriors, huku Pazi ikikipiga na JKT kwa wanaume na kwa wanawake JKT Stars itacheza DB Lioness, huku DB Troncatti ikicheza na Jeshi Stars. Nusu fainali hiyo…