Kisukari, shinikizo la damu: Magonjwa yanayoua kimyakimya
Dar es Salaam. Ni maadui wawili wakubwa wa uhai wa binadamu. Aghalabu wanakuja kimya kimya bila onyo. Utapata maumivu ya kichwa utachukulia sawa na msongo wa mawazo. Uchovu utasema pengine ni kwa sababu ya kufanya kazi sana kila siku. Ukiwa na jeraha hata dogo litachukua miezi kupona. Kwa mamilioni ya watu duniani, dalili hizi zinaonekana…