ONA itakavyounganisha Afrika Mashariki, kushusha gharama za mawasiliano
Arusha. Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeanza jitihada za kupanua mfumo wa mtandao wa pamoja (ONA) kwa kuunganisha huduma zinazoendeshwa kwa misingi ya takwimu. Lengo la mfumo huo ni kwa ajili ya kuboresha mawasiliano ya kikanda na kupunguza gharama za huduma ya mtandao kusafiri (roaming) miongoni mwa nchi wanachama. Upanuzi wa ONA unatarajiwa kujumuisha teknolojia…