Mantra Yaelekezwa Kuwashirikisha Watanzania Uchimbaji wa Urani
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dkt. Janeth Lekashingo, ameitaka kampuni ya Mantra Tanzania Limited, inayosimamia Mradi wa Uchimbaji wa Madini ya Urani katika Mto Mkuju, kuhakikisha kuwa Watanzania wanashirikishwa kikamilifu katika hatua zote za uchimbaji na uchakataji ili manufaa ya rasilimali hiyo muhimu ya taifa yawafikie wananchi wengi zaidi. Akizungumza Oktoba 1, 2025, katika ziara…