DKT.NCHIMBI NDANI YA JIMBO LA NANYAMBA,MTWARA

Picha za matukio mbalimbali ya Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel  John Nchimbi leo Alhamisi Oktoba 2,2025,akiwahutubia Wananchi wa jimbo la Nanyamba,wakati akielekea wilaya ya Tandahimba kwenye mkutano wake mkubwa wa hadhara wa Kampeni,akiendelea kuzisaka kura za ushindi wa kishindo za Chama Cha Mapinduzi (CCM).