Ibrahim Bacca Afungiwa Mechi 5 Baada ya Rafu Mbaya – Global Publishers
Shirikisho la Soka nchini (TFF) limemchukulia hatua kali mchezaji wa Young Africans, Ibrahim Abdullah, baada ya kumpiga rafu mbaya mchezaji wa Mbeya City, Ibrahim Ame, kitendo kilichotajwa kuwa cha kuhatarisha usalama wa wachezaji. Kwa mujibu wa Kanuni ya 41:21 ya Ligi Kuu, Abdullah amefungiwa mechi tano (5) mfululizo, adhabu ambayo…