
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuikabili Zambia – Global Publishers
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Zambia. Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, Tayari kikosi kimetajwa kwa ajili ya mchezo huo ambao unatarajiwa kuchezwa saa 4:00 usiku….