Wananchi wataka hatua za ziada kudhibiti tembo

Meatu. Wananchi wa Kata ya Sakasaka, Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wameeleza hofu na masikitiko yao kufuatia uvamizi wa tembo kutoka Pori la Akiba la Maswa ambao wamekuwa wakihatarisha maisha ya watu, kuharibu mali na kusababisha vifo. Wakizungumza leo Oktoba 5, 2025 na Mwananchi Digital baadhi ya wakazi wa Kata hiyo wamesema tatizo hilo limekuwa…

Read More

Mahakama ilivyowaachia wawili walioua bila kukusudia

Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru kwa masharti, watu wawili waliokiri kuua bila kukusudia akiwemo Manase Kulwa, aliyekiri kumuua bila kukusudia mke wake Sophia Jidai, baada ya kumkuta akifanya mapenzi na mwanaume mwingine. Manase alimuua mkewe Oktoba 21,2024 katika Kijiji cha Mwambondo Wilaya ya Uyui, mkoani  Tabora baada ya kumkuta akifanya mapenzi…

Read More

NATIONAL DIALOGUE DISCUSSES DIGITAL VIOLENCE AGAINST WOMEN IN POLITICS AND ELECTIONS IN TANZANIA

The Women in Law and Development in Africa (WiLDAF Tanzania), in collaboration with the government and development partners, organized a National Dialogue to discuss the challenges of technology-facilitated violence and other forms of violence against women in politics and elections. The dialogue, held on October 3, 2025, in Dar es Salaam, brought together representatives from…

Read More

MDAHALO WA KITAIFA WAJADILI UKATILI WA KIDIGITALI DHIDI YA WANAWAKE KATIKA SIASA NA UCHAGUZI TANZANIA

Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF Tanzania) kwa kushirikiana na serikali na wadau wengine wa maendeleo, limeandaa Mdahalo wa Kitaifa unaolenga kujadili changamoto za ukatili unaotumia teknolojia na ukatili dhidi ya wanawake katika siasa na uchaguzi. Mdahalo huo umefanyika Oktoba 3, 2025 jijini Dar es Salaam na umehudhuriwa na wawakilishi wa…

Read More

Chadema walia makada, viongozi wake kukamatwa

Dar/Mikoani. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua kilio cha wanachama na viongozi wao kukamatwa kwa nyakati tofauti maeneo mbalimbali nchini. Kwa mujibu wa Chadema, ndani ya wiki mbili makada na viongozi wa chama hicho, wamekamatwa na polisi huku wengine wakitoweka katika mazingira ya kutatanisha. Hata hivyo, baadhi ya maeneo Jeshi la Polisi limekuwa likitoa taarifa…

Read More

Ayoub aahidi kuondoa changamoto ya maji Chaani

Unguja. Mgombea ubunge Chaani, Ayoub Mohamed Mahmoud ameahidi kuchimba visima vinane na kuweka matanki manne ya maji ili kumaliza usumbufu wa upatikanaji majisafi na salama jimboni humo. Hayo ameyasema leo Jumapili Oktoba 5, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Chaani, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Amesema, jimbo hilo linakabiliwa na changamoto ya majisafi na…

Read More

Wanasayansi waikubali akili unde, wakisisitiza tahadhari

Dar es Salaam. Wanasayansi wametoa tahadhari kuwa matumizi ya akili unde (AI) kama mbadala wa mtaalamu wa afya, huchelewesha wagonjwa kutibiwa na kuchangia ongezeko la usugu wa vimelea dhidi ya dawa, huku Serikali ikitoa mwongozo. Matumizi ya akili bandia katika kujitibu, kama programu za afya ya akili au mifumo ya uchunguzi wa dalili yamekuwa yakiongezeka….

Read More

Sheikh Njalambaha: Waislamu tuitumie sharia mahakamani

Mbeya. Waumini wa dini ya Kiislamu wameshauriwa kutumia sharia za dini yao mahakamani kudai au kuomba haki, badala ya kuiingizia Serikali gharama kubwa za kuwaandaa wataalamu wasiotumika. Ushauri huo umetolewa leo Jumapili Oktoba 5, 2025 na Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Msafiri Njalambaha wakati wa mahafali ya kwanza ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kiislamu…

Read More