Wikiendi ya Kibingwa Na Odds Kali Kutoka Meridianbet – Global Publishers

Muda wa burudani ya soka safi ndo huu umewadia. Viwanja mbalimbali barani Ulaya vinaenda kuwa jukwaa la kutoa burudani ya hali ya juu. Kwa wapenzi wa kubashiri, Meridianbet imejiandaa kikamilifu kukupa odds murua na promosheni kabambe kwa kila mechi.

Ndani ya Serie A, siku inaanza mapema saa 13:30 kwa pambano la Udinese dhidi ya Cagliari, likifuatiwa na mechi mbili kali saa 16:00, Bologna wakipambana na Pisa, huku Fiorentina wakikabiliana na AS Roma katika mtanange wa kihistoria. Saa 19:00, Napoli nao wakiwa nyumbani watawakaribisha Genoa. Ratiba ya Serie A itakamilika pale Juventus watakapovaana na AC Milan, mechi inayotarajiwa kuvuta hisia za mashabiki kote duniani. Meridianbet inatoa machaguo ya kipekee kwa kila dakika ya mchezo huu.

Kwenye EPL, mashabiki watashuhudia mechi nne kwa wakati mmoja. Aston Villa wakiwa Villa Park watawakaribisha Burnley, Everton nao watacheza dhidi ya Crystal Palace wenye rekodi ya kutokufungwa mchezo wowote wa ligi msimu huu, huku Newcastle United wakicheza na Nottingham Forest, pamoja na Wolves watakaokutana na Brighton. Brentford wakiwa dimbani Gtech Community Stadium watajaribu kuzuia makali ya Manchester City, timu inayotazamiwa kkuwa kwenye mbio za kuusaka ubingwa wa ligi kuu msimu huu. Meridianbet inakupa nafasi ya kubashiri machaguo mbalimbali kwenye michezo hii.

Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# 

Kwa upande wa La Liga, Deportivo Alaves watafungua dimba dhidi ya Elche, wakifuatiwa na mechi nyingine kubwa ambapo Sevilla watakutana na Barcelona katika mechi ya hadhi ya juu. Saa 19:30, kutakuwa na mechi mbili, Espanyol dhidi ya Real Betis na Real Sociedad dhidi ya Rayo Vallecano. Mechi ya kuimaliza wikiendi kwa La Liga itakua ni ya Celta Vigo wakichuana na Atletico Madrid. Meridianbet ina odds za ushindi wa timu, idadi ya magoli, na hata matokeo ya kipindi cha kwanza.

Kwingineko kwenye Bundesliga, VfB Stuttgart wanawakaribisha FC Heidenheim, huku Hamburger SV wakivaana na Mainz 05, kabla ya Borussia M’gladbach kumenyana na Freiburg. Kwa mashabiki wa Bundesliga, Meridianbet imeweka odds za kuvutia kwa mechi hizi.

Pale Ufaransa kwenye Ligue 1, Lyon watapambana na Toulouse kwenye mchezo wa mapema. Kutakuwa na mechi tatu zitakazochezwa wakati mmoja, AS Monaco dhidi ya Nice, Le Havre dhidi ya Rennes, na Strasbourg watacheza na Angers. Usiku, Lille watakutana na Paris Saint-Germain, mechi ya kumaliza ratiba ya siku. Meridianbet inakupa nafasi ya kubashiri kila sekunde ya mchezo huu.

Kwa wapenzi wa kubashiri, leo ni fursa ya dhahabu. Tembelea Meridianbet sasa, chagua mechi zako, weka bashiri zako, na ufurahie ushindi na burudani ya soka la kiwango cha juu.