
Diarra Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba Ligi Kuu NBC – Global Publishers
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC, Djigui Diarra, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/2026. Hii ni baada ya kuiongoza Yanga SC kwenye michezo miwili muhimu, ikiwa ni ushindi wa 3-0 dhidi ya Pamba Jiji FC na sare tasa dhidi…