
Sumaye atoa mtazamo kusuasua vyama vya upinzani kwenye kampeni
Dar es Salaam. Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikiingia siku ya 39 kesho, Jumanne Oktoba 7, 2025, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameweka wazi mtazamo wake kuhusu mwenendo wa kampeni na wagombea 16 wa nafasi ya urais. Sumaye, aliyehudumu nafasi ya Waziri Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Tatu, ametoa tathmini yake hiyo katika mahojiano…