Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Meneja Mahusiano Idara ya Wateja Binafsi – Luiana Keenja, alipotembelea Banda la NMB kwenye Maadhimisho ya wiki ya Vijana katika viwanja vya Soko la Uhindini jijini Mbeya katikati ni Meneja Mauzo Kanda Nyanda za Juu Ungandeka Mwakatage.
KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA NMB KATIKA MAADHIMISHO WIKI YA VIJANA JIJINI MBEYA
