SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), limemtua Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia na Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said katika kamati mbalimbali, huku wadau wa soka wakipongeza hatua hiyo kubwa.
Uteuzi wa Karia, Hersi FIFA wawagusa wadau
