
Waziri Wa Sayansi Ajiuzulu Baada Ya Kughushi Vyeti – Global Publishers
Uche Nnaji, Waziri wa Nigeria wa Ubunifu, Sayansi na Teknolojia, amejiondoa madarakani siku chache baada ya kuibuka kwa madai kwamba alikuwa amedanganya cheti chake cha elimu. Uchunguzi wa gazeti Premium Times uliofanyika kwa muda wa miaka miwili ulionyesha kuwa Nnaji alidai kuwasilisha vyeti vya kughoshi kwa Rais Bola Tinubu wakati wa uteuzi wake kuwa waziri…