TADB YAJIPANGA KUHAKIKISHA TAIFA LINAJITOSHELEZA KWA CHAKULA
Wiki ya Maadhimisho ya Chakula Duniani Kitaifa imefunguliwa rasmi leo tarehe 11 Oktoba 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Batilda Buriani, katika viwanja vya Usagara jijini Tanga. Maadhimisho haya yataendelea hadi tarehe 16 Oktoba 2025, yakihudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya chakula kutoka ndani na nje ya nchi. Kauli mbiu ya…