Mkurugenzi wa Shirika la Community Transformation Alliance-CTA, Alistidia Kamugisha (katikati) akifafanua jambo kwenye semina hiyo, kulia ni Mratibu wa Taifa- FAWETz, Bi. Neema Kitundu pamoja na Mwalimu Shule ya Sekondari Kisutu, Bw. Abdallah Magongo (wa kwanza kushoto). |