Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia Zazidi Kutoa Pesa Meridianbet – Global Publishers


Je unajua kuwa Jumamosi ya leo unaweza ukajipatia maokoto ya maana kwenye mechi mbalimbali zinazoendelea za kufuzu Kombe la Dunia? Ureno, Uhispania. Italia na wengine wengi leo wanaingia uwanjani. Suka jamvi lako la uhakika na Meridianbet.

Kuanzia Kundi E, Bulgaria atakichapa dhidi ya Uturuki ambao wapo mbele yao kwa tofauti ya pointi 3. Bulgaria inahitaji ushindi siku ya leo kwani hawana alama yoyote na kwao pia Kombe la Dunia la 2026 ni muhimu na wanataka kushiriki. Bashiri mechi hii sasa.

Pia mteja wa Meridianbet unaweza ukajikusanyia mpunga mechi ya Uhispania dhidi ya Georgia ambapo tofauti yao ni pointi 3 pekee. Mechi tano za mwisho kukutana Georgia alikubali vipigo na sasa Uhispania anaongoza kundi E huku Georgia akimfuata nafasi ya pili. Ushindi ni muhimu leo kwa kila timu hivyo na wewe hii ndio nafasi yako ya kuchagua nani akupe ushindi siku ya leo. ODDS ziko poa sana, Jisajili hapa.

Vijana wa Marco Rossi, Hungary baada ya kupigwa na Ureno mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa Armenia ambao wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi. Tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee huku wakiwa wamekutana mara moja tu katika historia, mwaka 2004 na Hungary alishinda 2-0. Tandika jamvi hapa.

Chukua mpunga kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Piga *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

ODDS za kibabe zipo pia kwenye mechi ya Ureno dhidi ya Ireland, mechi ya mtanange wa Kundi F. Tofauti ya pointi kati yao ni 5, Ureno akiongoza kundi na Ireland akishika mkia huku leo hii Meridianbet wakimpa nafasi ya kushinda mwenyeji. Je pesa yako unampa nani siku ya leo?

Wakati kwa upande wa Norway, yeye atakuwa mwenyeji wa Israel huku mwenyeji akiwa ndiye kinara wa ligi akiwa na pointi 15 baada ya kushinda michezo yake yote mitano, na mgeni yeye akiwa na pointi 9 baada ya kupoteza michezo miwili. Ni Norway naliyeibuka mbabe mechi ya mwisho walipokutana. Je leo hii kwa ODDS zilizowekwa pale meridianbet, nani ataondoka na pointi 3? Jisajili hapa.

Tandika jamvi mechi ya Estonia walio nafasi ya tano dhidi ya Italia ambao wapo nafasi ya pili. Timu hizi zimetofautiana pointi 6 huku mtanange wa mwisho kukutana mgeni aliondoka na ushindi wa mabao 5-0. Nani kuibuka mshindi kwenye mchezo huu wa Kundi I siku ya leo? Meridianbet wameipa mechi hii ODDS za kibingwa kabisa. Tandika jamvi hapa.

Kiwanja kitatimka vumbi leo kwenye mechi ya Kundi F kati ya mwenyeji Serbia dhidi ya Albania. Utofauti wa alama moja ndiyo unazitenganisha timu hizi, Albania akiwa nafasi ya pili na alama nane, Serbia yupo nafasi ya tatu akiwa na alama saba. Nani kuondoka na alama tatu.