
Haya hapa malezi yanayomjenga mtoto kihisia
Dodoma. Daniel Goleman, mwandishi wa kitabu cha Emotional Intelligence, aliwahi kusema, “Usipomsaidia mtoto kujenga umahiri wa kuelewa na kumudu hisia zake, unamwandaa kuwa mtu atakayepata shida kwenye uhusiano wake na watu. Malezi, kwa msingi huo, yanalenga kushughulika na hisia za mtoto.” Hapa ninakuletea njia tano za kujenga umahiri wa mtoto kumudu hisia zake. Wapo watoto…