VIWANDA VITATU VILIVYOSIMAMA UZALISHAJI VYAFUFULIWA TANGA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah akikagua Mashine mpya katika Kiwanda kinachotarajiwa kuanza kazi Mwezi Januari cha Ply and Panel kinachomilikiwa na Bw. Hussen Moor, katika ziara yake ya kutembelea Viwanda hivyo vilivyopo mkoani Tanga, akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Bw. Rashid Mchatta, tarehe 13…