Mechi Kufuzu Kombe La Dunia 2026 Na Pesa Njenje Kutoka Meridianbet

MICHUANO ya kufuzu Kombe la Dunia barani Afrika imeendelea kushika kasi, huku mashabiki wa soka wakishuhudia mechi kali zinazotia kicheko na simanzi. Lakini mbali na dimbani, Meridianbet nayo imechochea moto wa burudani kwa kutoa odds tamu kwa kila pambano, ikiwapa nafasi mashabiki kugeuza ubashiri wao kuwa ushindi mkubwa.
Katika kundi A, macho yanahamia kwa Burkina Faso wanaovaana na Ethiopia saa 4 usiku. Wapenzi wa soka wanajua mechi hii si ya mchezo mchezo. Burkina Faso wanajivunia rekodi bora nyumbani, lakini Ethiopia wamekuwa wakishangaza wengi kwa nidhamu yao ya kiuchezaji. Kwa Meridianbet, hii ni fursa ya kuchagua nani akupe pesa yako baada ya dakika 90.
Wakati huo huo, Djibouti watakuwa na kibarua kizito dhidi ya Sierra Leone, huku Egypt wakitarajiwa kutawala nyumbani wakipambana na Guinea-Bissau. Pambano la Misri limevutia hisia za wengi, hasa kwa sababu nyota wao wakubwa wapo tayari kulinda heshima ya taifa lao. Kwa upande wa Meridianbet, odds zimepangwa kisawasawa, kila ubashiri ni shuti la ushindi.
Usisahau kasino ya mtandaoni, chukua nafasi kwenye michezo kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Ingia sasa na ongeza nafasi zako za kushinda. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Katika kundi E, Zambia wataingia uwanjani saa 10 jioni kupambana na Niger. Chipolopolo wanaingia wakiwa na mwenendo usiopendeza hivo wanajua ushindi wa leo utawarejeshea japo matumaini kidogo kwa mashabiki wao. Meridianbet imeweka odds zinazosisimua, na kwa wale wanaoamini nguvu ya nyumbani, hii ndiyo nafasi ya kujikusanyia pesa kwa kumpa ushindi chipolopolo.
Macho yanahamia kundi I, ambapo Chad watakuwa wenyeji wa Jamhuri ya Afrika ya Kati saa 1 usiku. Hii ni mechi ya majirani, yenye ladha ya derbi. Baadaye saa 4 usiku, Ghana watakutana na Comoros, pambano la kujaribu kulipiza kisasi kwani michezo miwili ya mwisho kukutana, Black Stars walikutana na vipigo. Na kwa wabashiri, hii ni fursa nyingine ya pesa kwa odds kabambe zilizowekwa pale Meridianbet.
Mchezo wa kufunga siku utawakutanisha Mali dhidi ya Madagascar, pambano linalotabiriwa kuwa na mvua ya mashambulizi na mvuto wa kipekee kutokana na ubora wa vikosi vyote viwili. Uwepo wa Djigui Diarra golini kwa upande wa Mali unatoa matumaini ya ushindi kwa timu hii. Odds ni kubwa kwenye mchezo huu ili kukupa ushindi mkubwa zaidi.