Meridianbet Kutoa Sababu Ya Kucheka Kwa Mechi Za Kufuzu Kombe La Dunia

MASHABIKI wa soka barani Afrika wanapata burudani ya kabumbu safi siku ya leo kupitia michezo inayoendelea ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia hapo mwakani. Burudani hii haitoishia uwanjani tu bali pia hata wabashiri wanapata nafasi ya kufurahi kupitia odds safi zilizowekwa na meridianbet kwenye michezo hii
Vijana wa Juba, Sudani Kusini, wataingia dimbani kwa ajili ya kuchuana na Togo kwenye mchezo muhimu wa kundi B. Wasudani hawa wanarusha karata yao kutafuta ushindi wa kwanza baada ya michezo 8 bila ushindi kwenye kundi, huku Togo walio nafasi ya 4 wakiwa hawapo tayari kuwa sababu ya kubadili rekodi ya Sudani Kusini.
Wakati huohuo, ndani ya kundi C Lesotho atakua na kibarua kizito sana dhidi ya vijana wa Michael Nees, Zimbabwe. Hii ni vita ya majirani wa Kusini mwa Afrika na tunatarajia kushuhudia mchezo wa ubora wa hali ya juu kulingana na namna timu zote zinavyocheza kandanda safi sana. Lesotho yupo nafasi ya tano huku Zimbabwe akiwa nafasi ya 6.
Wakati mechi zikiendelea, Meridianbet pia wanakupa nafasi ya kujizidishia mapato kupitia michezo ya kasino kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz, hapa ndipo jamvi la ushindi linapopatikana.
Vilevile, Lakini bila shaka kivutio kikubwa kitakuwa kundi D, ambapo Cameroon watakuwa wenyeji wa Angola, pambano ambalo linatajwa kama vita vya nguvu na uzoefu. Wengine katika kundi hilo, Cape Verde na Eswatini, wanatafuta nafasi ya kusalia kwenye mbio, huku Mauritius wakipambana na Libya katika mechi ya kutafuta heshima.
Michezo ya mwisho kwa siku ya leo ni michezo ya kundi H na hii inajumuisha mchezo kati ya Equatorial Guinea na Liberia, Sao Tome dhidi ya Malawi pamoja na mchezo mkubwa wa Tunisia dhidi ya Namibia. Mchezo wa Tunisia na Namibia ni mchezo wa wababe wa kundi, Tunisia akiwa nafasi ya kwanza na alama zake 22 huku Namibia akiwa nafasi ya pili na jumla ya alama 15. Hizi mechi ni fursa ya pesa kwa watumiaji wa Meridianbet kwani pesa ni ya uhakika kwa namna Odds zilivyokubwa sana.