
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 14, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Last updated Oct 14, 2025 Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, amesema Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) litaendelea kusimamia maslahi mapana ya taifa, huku akitoa wito kwa Watanzania kuendelea kuwa wazalendo na kulinda amani iliyopo nchini. Akizungumza Oktoba 12, 2025 mkoani Njombe wakati wa ziara yake ya kikazi, Mufti Zubeir…
Last updated Oct 14, 2025 Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Charles Kitima Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limekanusha vikali taarifa inayosambaa mitandaoni ikidai kuwa ni tamko rasmi la baraza hilo kuhusu amani ya taifa kuelekea uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,…
Last updated Oct 13, 2025 Mrembo maarufu wa mitandao ya kijamii, Poshy Queen (@poshyqueeen), ambaye pia ni mke wa mfanyabiashara maarufu anayejulikana kama Dalali, ameibua gumzo kubwa mitandaoni baada ya kumposti mpenzi wake mpya kwenye ukurasa wake wa Instagram leo. Picha iliyosambaa kwa kasi kwenye mtandao huo inaonyesha Poshy Queen akikumbatiwa…
Last updated Oct 13, 2025 Alaina Scott, binti wa rapa maarufu duniani Eminem, ametangaza kuwa anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza na mume wake, Matt Moeller.Marshall Mathers anaejulikana kama Eminem, alimlea Alaina kama binti yake tangu akiwa mdogo. Alaina ni mtoto wa Dawn Scott, ambaye ni dada wa Kim Scott, mke…
Last updated Oct 14, 2025 Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, katika eneo la Rubambangwe, Chato mkoani Geita, tarehe 13 Oktoba 2025. 🔴…
BAADA ya kupoteza mechi iliyopita dhidi ya Zambia kuwania nafasi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026, Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ itashuka dimbani leo Jumanne kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki na Iran kwenye Uwanja wa Shabab Al Ahli, Dubai, Falme za Kiarabu. Hii itakuwa mara ya kwanza kwa mataifa hayo kukutana ambapo kwa mujibu…
KLABU ya Yanga, leo Oktoba 13, 2025 imemtambulisha Patrick Mabedi kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo chini ya Mjerumani, Romain Folz. Mabedi ametua Yanga kuchukua nafasi ya Manu Rodriguez, aliyewasilisha barua ya kuomba kuvunja mkataba wake kufuatia kupata changamoto ya kiafya. Patrick Mabedi amezaliwa Novemba 5, 1973, mwaka huu anatimiza miaka 52. Huyu ni kocha…
Mpanda farasi wa tatu alikuwa akipitia eneo lenye mafuriko huko Kolkata, India.Teknolojia ya AI itawezesha majibu bora ya janga na serikali na jamii za wenyeji. Mikopo: Pexels/Dibakar Roy Maoni Na Kareff Rafisura, Sheryl Rose Reyes na Natdanai punsin (Bangkok, Thailand) Jumatatu, Oktoba 13, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Bangkok, Thailand, Oktoba 13 (IPS) –…
Dar es Salaam. Amani na umoja ni tunu zilizosimamiwa kwa nguvu kubwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, akiamini kwamba umoja ndiyo nguvu ya mnyonge na amani ndiyo nguzo ya maendeleo. Leo ni miaka 26 tangu Nyerere alipofariki dunia, Oktoba 14, 1999, huku akiliacha Taifa likiwa na amani na umoja licha ya kupita katika…