NSSF Yaimarisha Ustawi wa Wanachama Kupitia Nishati Safi Mbeya
*Ni kupitia muendelezo wa Awamu ya Pili wa Kampeni ya NSSF Staa wa Mchezo Paka rangi Na MWANDISHI WETU, Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mheshimiwa Beno Malisa, amewataka waajiri wa sekta binafsi kuhakikisha wanatimiza takwa la kisheria la kuwasilisha michango ya wanachama wao kwa wakati katika Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF),…