Wakati uliosubiriwa kwa hamu ndiyo huu umewadia sasa. Meridianbet inaleta fursa ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya mpira wa miguu. Kuanzia 01 Oktoba hadi 30 Oktoba 2025, kila mchezaji anayejisajili na meridianbet ana nafasi ya kushinda simu mpya ya Samsung A26 kwa bure.
Ili kuingia katika droo hii ya kipekee, mchezaji anatakiwa kuweka na kucheza angalau Tsh. 5,000 kila wiki kwenye ligi yoyote ya mpira wa miguu. Kila wiki, wachezaji wawili watashinda Samsung A26 mpya, na jumla ya Simu nane za Samsung A26 zipo kwa ajili yako.
Promosheni hii ni fursa ya ushindi mkubwa na ni halali kwa watumiaji wote waliojisajili na Meridianbet kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz ama application ya simu. Kila unavyocheza zaidi kunakupa nafasi kubwa ya kushinda.
Si soka tu, Meridianbet inatoa michezo ya kasino kama Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na mingine mingi. Kila mchezo ni nafasi ya mkwanja mkubwa. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz na uungane na dunia ya ushindi inayopatikana kila dakika.
Pamoja na promosheni hii kuwa wazi kwa watumiaji wote, lakini tiketi za Turbocash na zile za mfumo hazitokua sehemu ya fursa ya ushindi huu, huku promosheni ikiwa halali kwa kila akaunti na Meridianbet ina haki ya kubadilisha masharti au kuahirisha promosheni wakati wowote.
Meridianbet sio tu jukwaa la kubashiri bali ni mahali ambapo kila mchezaji ana nafasi ya kushinda zawadi za kipekee, huku akifurahia michezo ya mpira ya ligi yoyote na kujiweka kwenye fursa ya kujiinua kiuchumi kwani huku ushindi ni wa uhakika muda wowote.Jisajili leo, weka bashiri yako ya kwanza ya angalau Tsh. 5,000, na uwe miongoni mwa wachezaji wanaoshinda Samsung A26 kila Ijumaa. Simu za Samsung A26 zinangojea wachezaji wenye bahati.