NDOTO za Muddy Manyara zilishafanikiwa. Tayari kila kitu kilishakaa kwenye mstari. Maisha alishayapatia baada ya kufika Ulaya na kuangukia katika mapenzi na mwanamke wa kizungu, Linnie, lakini akaleta utoto wa mjini. Akajikuta akipata anguko kubwa la maisha yake….
Mtoto wa Mjini – 1
