MERIDIANBET imesogeza fursa ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya mpira wa miguu na michezo mingine ya kubashiri. Kuanzia 01 Oktoba hadi 30 Oktoba 2025, kila mchezaji anayejisajili na Meridianbet ana nafasi ya kushinda simu mpya ya Samsung A26 bila gharama yoyote ya ziada.
Ili kuingia kwenye droo hii ya kipekee, mchezaji anatakiwa kuweka na kucheza angalau Tsh. 5,000 kila wiki kwenye ligi yoyote ya mpira wa miguu. Kila wiki, wachezaji wawili watashinda Samsung A26 mpya, na jumla ya Simu nane za Samsung A26 zinapatikana kwa wachezaji wenye bahati.
Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wote waliojisajili kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au kupitia app ya simu ya Meridianbet. Kila unavyocheza zaidi, ndivyo nafasi yako ya kushinda inavyoongezeka.
Si soka tu, Meridianbet inatoa pia michezo ya kasino kama Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli, na mingine mingi. Kila mchezo ni nafasi ya kupata ushindi mkubwa. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz na uungane na dunia ya ushindi inayopatikana kila dakika.
Promosheni hii ni halali kwa akaunti moja kwa mtumiaji, na Meridianbet ina haki ya kubadilisha masharti au kuahirisha promosheni wakati wowote. Tiketi za Turbocash na zile za mfumo hazihusishiwi kwenye droo hii.
Meridianbet sio tu jukwaa la kubashiri, bali ni mahali ambapo kila mchezaji ana nafasi ya kushinda zawadi za kipekee na kufurahia michezo ya mpira ya ligi yoyote. Hii ni fursa ya kujiinua kiuchumi huku ukifurahia burudani isiyo na kikomo.
Jisajili leo, weka bashiri yako ya kwanza ya angalau Tsh. 5,000, na uwenda ukawa miongoni mwa washindi nane wa simu mpya aina ya Samsung A26.