YAS ZANZIBAR MARATHON 2025 KUFANYIKA NOVEMBA 23

:::::::::: Na Mwandishi Wetu Kampuni ya mawasiliano ya YAS kwa kushirikiana na Mixx, imezindua rasmi maandalizi ya mbio za Yas Zanzibar International Marathon 2025. Mbio hizo zinatarajiwa kufanyika Novemba 23, visiwani Zanzibar, zikiongozwa na kauli mbiu isemayo “Kila Hatua ni Special.” Meneja wa Mawasiliano YAS, Bi. Christina Murimi, amesema lengo kuu ni kuhamasisha afya, utalii…

Read More

Benki ya CRDB yajitosa kusaidia wawekezaji Afrika Mashariki

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Profesa Neema Mori amesema benki hiyo imejipanga kikamilifu kuwa mshirika wa wawekezaji wanaotaka kuchangamkia fursa za kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Uwekezaji huo utakuwa hususani nchini Tanzania, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako benki hiyo inaendesha shughuli zake. Akizungumza…

Read More

MNDEME AELEZA AJENDA ZA MAENDELEO KWA MAKUNDI MBALIMBALI MJIMWEMA KIGAMBONI

………………. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme, amefanya kikao cha ndani na wakazi wa Mjimwema ikiwa ni sehemu ya kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025 Katika kikao hicho, Mndeme alikutana na makundi mbalimbali ya kijamii wakiwemo mama lishe, wajasiriamali, waendesha bodaboda pamoja na…

Read More

TEA, UNICEF NA MAPINDUZI YA SAYANSI MASHULENI – SONGWE.

Na Mwandishi Wetu, Songwe Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) wameendelea kufanya mapinduzi makubwa katika kuinua ubora wa elimu nchini, hususan katika masomo ya sayansi. Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa makubaliano maalum yaliyosainiwa kati ya pande hizo mbili, yakilenga kuboresha miundombinu ya…

Read More