Katika ulimwengu wa kubashiri, kushindwa siyo mwisho tena! Kampuni ya Meridianbet imezindua promosheni mpya yenye kuleta msisimko kwa wachezaji wa Win&Go, iitwayo Lucky Loser. Kupitia promosheni hii, tiketi yoyote yenye namba 6 iliyowekwa kwa pesa taslimu ambayo inashindwa kubashiri namba zote, sasa inageuka kuwa tiketi mshindi kwa kuzidishwa dau mara 30 (x30)!
Jinsi Promosheni ya Lucky Loser Inavyofanya Kazi
- Cheza mchezo wa Win&Go kupitia akaunti ya pesa taslimu.
- Weka dau lako kwenye tiketi yenye namba 6.
- Endapo utashindwa kubashiri namba sahihi zote — usihofu! Tiketi yako moja kwa moja inakuwa mshindi kupitia Lucky Loser.
- Utalipwa ushindi wako kwa kuzidishwa dau mara 30, na tiketi yako itakuwa na alama ya jani la bahati (clover) kama uthibitisho.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Faida Kubwa kwa Washiriki
- Hata unapopoteza, bado unashinda — hakuna tiketi inayopotea bure.
- Unapata nafasi ya kufurahia mchezo bila presha kubwa ya kushindwa.
- Promosheni hii ni maalum kwa wachezaji wa Win&Go na inaleta msisimko wa kipekee kwa kila tiketi unayoweka.
- Ni njia bora ya kuongeza ushindi wako hata pale ambapo bahati haijakaa upande wako!
Vigezo na Masharti Muhimu
- Promosheni inatumika kwa tiketi zenye namba 6 pekee.
- Haitumiki kwa tiketi za mfumo wala tiketi zilizowekwa kwa bonasi.
- Raundi ya Dhahabu haina athari kwenye hesabu ya ushindi.
- Tiketi za Lucky Loser haziwezi kushiriki kwenye droo ya jackpot.
- Katika mazingira ya udanganyifu, matatizo ya kiufundi, au uvunjaji wa sheria za promosheni, Meridianbet ina haki ya kusitisha bonasi au ushindi husika.
Hii ni nafasi ya kipekee kwa wapenzi wa kubashiri kuongeza ushindi wao, hata pale ambapo bahati haijawa upande wao. Tiketi zitakazoshinda kupitia Lucky Loser zitatambulika kwa alama ya jani la bahati (clover) katika muhtasari wa dau.
Meridianbet inaendelea kuleta ubunifu na furaha zaidi kwa wateja wake, kuhakikisha kila tiketi ina thamani. Cheza Win&Go leo, kwa sababu hapa — hata unapopoteza, unashinda kweli!
🏆 Meridianbet – Kila Tiketi Ina Thamani
Meridianbet inaendelea kuthibitisha nafasi yake kama kinara wa ubunifu katika michezo ya kubashiri. Kupitia Lucky Loser, kampuni inaleta furaha, matumaini na msisimko kwa wachezaji wote — kwa sababu hapa, bahati haiji kwa washindi tu, bali hata kwa waliopoteza!
👉 Tembelea www.meridianbet.co.tz