
Ibenge ampa mzuka Fei Toto
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amesema kufundishwa na Kocha, Mkongomani, Florent Ibenge ni hatua kubwa kwa timu hiyo kufikia malengo iliyojiwekea hasa michuano ya kimataifa. Nyota huyo amezungumza hayo wakati kikosi cha Azam kikikabiliwa na mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya…