Kocha KMKM ajipa matumaini Chamazi
KOCHA Mkuu wa KMKM, Hababuu Ali, amesema licha ya kupoteza mechi ya kwanza kwa kuchapwa mabao 2-0 dhidi ya Azam, ila hajakata tamaa wakati miamba hiyo itakaporudiana Oktoba 24, 2025 kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Katika mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyopigwa leo…