BAADA ya kufungwa mabao 2-1 na Pamba Jiji, benchi la ufundi la Mashujaa FC limesema kwa sasa akili yao inawaza namna ya kufanya vizuri katika mechi ijayo dhidi ya TRA United itakayochezwa Oktoba 22, 2025, huku likitoa tahadhari ya ugumu wa ligi.
Maafande kutuliza hasira kwa watoza kodi
