Street University Yarejea kwa Kishindo Kikubwa Jijini Mwanza – Global Publishers



Baada ya kipindi kirefu cha kusubiri, Street University imerudi tena kwa kishindo kikubwa!
Mwasisi wake, Eric James Shigongo, amewaalika vijana kutoka vyuo na vyuo vikuu kushiriki katika kongamano maalum litakalowasha moto wa fikra, ubunifu na uthubutu jijini Mwanza.

📅 Tarehe na Mahali

📍 Rock City Mall, Mwanza
🗓️ Jumamosi, 18 Oktoba 2025
🕗 Kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana