JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watuhumiwa wanne wakiwa na jumla ya vipande 23 vya meno

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watuhumiwa wanne wakiwa na jumla ya vipande 23 vya meno ya Tembo, katika operesheni iliyoshirikisha askari wa Wanyamapori ilioyofanyika wilaya ya Kilombero na Mvomero ikiwa ni mikakati ya Jeshi hilo kuimarisha ulinzi. Taarifa ya leo Oktoba 19, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex…

Read More

Nafasi ya kushinda Mamilioni Ipo Meridianbet

JE unajua kuwa leo hii unaweza ukaondoka na ushindi mnono kabisa endpao utaweza kubashiri mechi zako za ushindi?. Timu kibao zipo uwanjani kukusubiri wewe pekee, hivyo basi weka dau lako na uanze safari yako ya ushindi sasa. EPL itaendelea ambapo Tottenham Hot Spurs atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Aston Villa ambapo tofauti ya pointi kati…

Read More

MNEC MWAKITINYA AWAANGUKIA WAZEE AMANI YA NCHI

Katikati ni MNEC,Mussa Mwakitinya,Kushoto akiwa ni mgombea Ubunge Jimbo la Chato kusini,Paschal Lutandula, na kulia mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Chato ::::::::: MJUMBE wa halmashauri kuu ya CCM Taifa, Mussa Mwakitinya, amewahimiza wazee kuwahamasisha vijana wao kuendelea kukipenda CCM na kwamba busara zao ni kubwa katika kuielimisha jamii umuhimu wa amani kwa Taifa. Amesema yapo…

Read More

Bakwata ya himiza amani, wananchi kupiga kura

Hai. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) mkoani Kilimanjaro, limewataka wananchi kutambua umuhimu wa kupiga kura, ikisisitiza kuwa ni wajibu wao wa Kikatiba. Wito huo umetolewa leo Jumapili Oktoba 19, 2025 na Sheikh wa Mkoa wa Kilimanjaro, Shaabani Mlewa alipozungumza katika Msikiti wa Shafii, Bomang’ombe wilayani Hai. Sheikh Mlewa amewataka waumini wa dini hiyo kuhakikisha…

Read More

Nondo za Maaskofu kuhusu amani

Dar/Moshi. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk Alex Malasusa, na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, wamewataka Watanzania kudumisha amani, utulivu na ustahimilivu, huku wakisisitiza umuhimu wa kupenda kusema ukweli na kujiepusha na uongo. Viongozi hao wamesema hayo kwa nyakati tofauti leo Jumapili, Oktoba 19, 2025, jijini Dar…

Read More

Mwalimu: Mkinipeleka Ikulu, waziri mkuu wangu ni Kigaila

Dar es Salaam. Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu, amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atamteua Benson Kigaila kuwa Waziri Mkuu wake. Mwalimu ametoa kauli hiyo leo Jumapili Oktoba 19, 2025, katika mkutano wa kampeni za kunadi sera za chama hicho uliofanyika katika Soko la…

Read More

DK.SAMIA AANIKA MAENDELEO RUKWA,AAHIDI MAKUBWA MIAKA MITANO IJAYO

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Rukwa MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema Mkoa wa Rukwa umepiga hatua kubwa za kimaendeleo kutokana na mipango ambayo Serikali imeiweka katika kuboresha maisha ya wananchi wa Mkoa huo. Akizungumza leo Oktoba 19,2025 katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Kizwite uliopo Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa alipokuwa…

Read More

PIGENI KURA ZA MAENDELEO- MHE. WANU

Na Yohana Kidaga- Rufiji Mlezi wa Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania( UWT) Wilaya ya Rufiji, na Mgombea wa Ubunge kwa jimbo la Makunduchi, Mhe. Wanu Hafidh ametoa wito kwa wanarufiji na watanzania kwa ujumla kukipigia kura CCM kwenye uchaguzi mkuu ili kupata maendeleo ya kweli. Kauli hiyo ameitoa leo akiwa mgeni rasmi kwenye kongamano…

Read More