Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akisalimiana na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Malasusa wakati alipowasili Same
mkoani Kilimanjaro kushiriki Ibada Maalum ya Kilele cha Jubilei ya Miaka 50 ya
Kuzaliwa kwa Dayosisi ya Pare leo tarehe 19 Oktoba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akisalimiana Maaskofu mbalimbali wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wakati alipowasili Same mkoani
Kilimanjaro kushiriki Ibada Maalum ya Kilele cha Jubilei ya Miaka 50 ya
Kuzaliwa kwa Dayosisi ya Pare leo tarehe 19 Oktoba 2025.