JE unajua kuwa leo hii unaweza ukaondoka na ushindi mnono kabisa endpao utaweza kubashiri mechi zako za ushindi?. Timu kibao zipo uwanjani kukusubiri wewe pekee, hivyo basi weka dau lako na uanze safari yako ya ushindi sasa.
EPL itaendelea ambapo Tottenham Hot Spurs atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Aston Villa ambapo tofauti ya pointi kati yao kwenye ligi ni 5. Mara ya mwisho kukutana kwenye ligi, Villa aliondoka na ushindi. Vijana wa Thomas Frank wanataka kulipa kisasi wakiwa nyumbani?. Je beti yako unaiweka wapi?. ODDS KUBWA zipo hapa na Meridianbet.
Huku mechi kali kabisa na inayosubiriwa kwa hamu ni hii ya Liverpool vs Manchester United ya kocha mkuu Ruben Amorim. Ikumbukwe kuwa Jogoo wa Anfield ametoka kupoteza mechi 3 mfululizo kwenye mashindano yote, hivyo ushindi huu ni muhimu sana kwake leo. Hii ni vita kali sana kutoka kwa makocha ambao walitoka kuvinoa vilabu kule Ureno. Bashiri mechi hii sasa.
Meridianbet inakwambia kuwa leo hii unaweza ukatusua kwa kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Huku kwa upande wa LALIGA nayo kitawaka vilivyo ambapo Real Sociedad atasafiri kukipiga dhidi ya Celta Vigo ambao mechi iliyopita walitoa sare, huku wageni wao wakiondoka na ushindi mnono kabisa. Mechi hii pale Meridianbet ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ujisajili sasa.
Kinara wa ligi Real Madrid baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kusaka pointi 3 za kuzidi kujikita kileleni dhidi Getafe ambao wao kwenye mechi 8 ambazo wamecheza hadi sasa wakusanya pointi 11 pekee. Takwimu zinaonesha kuwa Real aliondoka na ushindi. Je mwenyeji kulipa kisasi?. Tandika jamvi hapa.
Halikdhalika BUNDESLIGA nayo itaendelea kwa michezo miwili, Freiburg atamleta kwake Eintracht Frankfurt ambao wametoka kupoteza mechi yao iliyopita, huku wenyeji wao wakiondoka na ushindi mnono mechi yao iliyopita. Meridianbet wameweka ODDS za kibabe mtanange huu. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
St Pauli wao watakuwa kibaruani kusaka ushindi dhidi ya Hoffenheim huku wote wakiwa wamepoteza mechi zao zilizopita. Ushindi ni muhimu kwa timu zote mbili hivyo na wewe ili kupiga mkwanja mrefu ongeza mechi hii kwenye mkeka wako pale Meridianbet. Tandika jamvi sasa.
SERIE A nayo kibabe sana kuna mitanange ya kutosha kabisa Juventus ataumana dhidi ya Como 1907 ambapo hii ni mechi kali kabisa ya kukutajirisha lakini ya kutazama. Tofauti ya pointi kati yao ni pointi 3 pekee. Mwenyeji anataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi zote msimu uliopita. Nani kukupatia mkwanja pale Meridianbet?. Suka jamvi hapa.
Nao Atalanta watakuwa uso kwa uso dhidi ya Lazio ambao wana pointi 7 kwenye ligi huku wenyeji wao wakiwa na pointi 10. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii sasa. Unangoja nini sasa kutengeneza nafasi yako ya ushindi?. Bashiri sasa.
Na hapo baadae kabisa AC Milan watapepetana dhidi ya ACF Fiorentina ambao mechi iliyopita, walipoteza huku wenyeji wao wakitoa suluhu. Hii ni mechi moja kubwa ambayo ndani yake ina maokoto ya maana sasa. Tengeneza jamvi lako la ushindi na uanze safari yako ya ushindi siku ya leo. Jisajili sasa.
Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 nayo pia itaendelea ambapo mapema kabisa Lens atakipiga dhidi ya Paris FC ambao ndio wamepanda daraja msimu huu. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee, mwenyeji yupo nafasi ya 6 na mgeni wake nafasi ya 8. Nani kuondoka kifua mbele?. Meridianbet kukupatia mshiko sasa. Jisajili sasa.
Lorient atakuwa uso kwa uso dhidi ya Brest ambao mechi iliyopita, walitoa suluhu huku wenyeji wao wakipoteza. Kila timu inahitaji pointi 3 za ushindi. Kumbuka kuwa mechi hii inaweza ikakuongezea pesa kwenye jamvi lako, hivyo bashiri kibabe na Meridianbet siku ya leo.
Kwa upande wa Lille wao watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Nantes ambao kwenye mechi ya mwisho kukutana walishinda. Mgeni anataka kulipa kisasi leo lakini tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee. Nani unampa pesa akupatie mzigo wa kutosha?. Tandika jamvi lako hapa.