
Nabi ataja mambo mawili ya kocha mpya Yanga
UONGOZI wa Yanga umeanza upya mchakato wa kutafuta kocha wa timu hiyo baada ya kufunga uwezekano wa kumchukua kocha Romuald Rakotondrabe ‘Roro’ aliyekuwa anakaribia kutua katika timu hiyo, huku Nasreddine Nabi akitia mkono. Uamuzi huo unakuja baada ya Yanga kuachana na aliyekuwa kocha wao Romain Folz, baada ya timu hiyo kupoteza mechi ya kwanza msimu…