Dkt. Samia Aendelea na Kampeni za Urais Kibiti, Awaeleza Wananchi Dira ya CCM

Mgombea wa nafasi ya Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi, Wanachana na Wapenzi wa CCM wa Kibiti katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho Mkoani Pwani tarehe 20 Oktoba, 2025.