Jishindie Simu Janja na Meridianbet Leo

WAKALI wa ubashiri Tanzania, Meridianbet leo hii wanakwambia kuw auna nafasi ya kuwa mshindi wa simu kali aina ya Samsung A26 endapo utasuka jamvi lako la ushindi kwa dau ulitakalo.
Hii ni promosheni ya kibabe kabisa kukujia ambapo imeanza mwezi huu tarehe 01 na itaishia tarehe 30 huku kukiwa na nafasi ya kuwa moja ya washindi wa uhakika siku ya Jumatano ambapo droo itachezeshwa.
Lakini pia Meridianbet ikiwa kama Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa promosheni hii ya kibabe ni kwaajili ya wale wateja wake ambao hutumia mfumo wa USSD yaani wanaotumia kitochi au kwa kupiga *149*10# kubashiri mechi zao zote wazipendazo.
Ili kuweza kujishindia Samsung A26 mpya kabisa ndani ya mwezi huu ni lazima mteja aweze kubashiri mechi kuanzia 3 na zaidi ambazo moja kwa moja zitamfanya aibuke bingwa endapo timu hizo ambazo amechagua zitashinda zote.
Ukiachana na promosheni hiyo, vilevile Meridianbet inakwambia kuwa leo hii unaweza ukatusua kwa kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ndugu mteja huenda hii ndio bahati yako ya wewe kuweza kumiliki simu janja na kali yenye kupiga picha kali na Meridianbet pekee ndio wanaweza kufanya ndoto zitimie kwa namna moja ama nyingine. Unangoja nini sasa?. Ingia kwenye akaunti yako ya ubashiri na ubeti sasa.
Safari yako ya mafanikio itakuwa nzuri sana endapo utaamua leo hii kufata ndoto zako. ODDS KUBWA na za kibabe zipo hapa kwa mabingwa wa muda wote. Mechi kibao zinaendelea hivyo bashiri na Meridianbet sasa.
NB: Wakati wa promosheni hii ya Jumatano ya Zawadi, mteja hataruhusiwa kufanya CASH OUT kwenye mkeka wake kwani kufanya hivyo moja kwa moja kutamfanya awe amejiondoa kwenye ushiriki wa mashindano. Hivyo mteja anatakiwa asubiri mpaka mechi zake zote ziishe ndipo ataweza kujiweka kwenye washindi.
Lakini pia Meridianbet inakwambia kuwa kadri unavyobashiri mara nyingi, ndipo nafasi yako ya ushindi inaongezeka. Wateja wote wanaruhusiwa kushiriki kwenye promsheni hii, hivyo changamkia fursa hii leo.