Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapiga picha viongozi mbalimbali pamoja na Wanachama wa Chama hicho waliokuwa wakicheza mziki mbele ya jukwaa kuu katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi kitabu cha Ilani ya Uchaguzi chenye nukta nundu kwa mwakilishi wa Walemavu wasioona katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wagombea Ubunge wa Majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2025.
Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2025.
Shamra shamra wakati akiwasili Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa majimbo ya Kinondoni, Kibamba, Kawe na Ubungo tarehe 21 Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa majimbo ya Kinondoni, Kibamba, Kawe na Ubungo katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2025.