Kauli za wadau na ripoti za waangalizi wa uchaguzi mkuu

Dar es Salaam. Wataalamu wa siasa na utawala bora wamezitaka mamlaka za uchaguzi nchini kuzingatia kwa umakini ripoti na mapendekezo yanayotolewa na waangalizi pamoja na watoa elimu ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa wadau hao ni nguzo muhimu katika kujenga misingi ya chaguzi huru, haki na zenye amani. Kauli hiyo imetolewa zikiwa zimesalia siku tisa kabla ya…

Read More

Ofisi ya Haki za UN inasikika juu ya ‘Kuruka’ Vurugu za Wakaazi wa Israeli wakati wa Mavuno ya Mizeituni – Maswala ya Ulimwenguni

Ajith Sunghay alisema Jumanne kwamba “Vurugu za wakaazi zimeongezeka kwa kiwango na masafa, na utaftaji, msaada, na katika hali nyingi ushiriki, wa vikosi vya usalama vya Israeli – na kila wakati bila kutokujali. “ Katika nusu ya kwanza ya 2025 pekee, kulikuwa na Mashambulio ya walowezi 757 kusababisha majeruhi au uharibifu wa mali – a…

Read More

Fyatu anapomkumbuka Fyatu Nchonga kifyatu

Mpendwa Fyatu na mzee mwenzangu mwana wa Mzee Burito uliyelala kishujaa pale Mwitongo, kwanza, nakusalimia kwa jina la Ujamaa na Kujitegemea uliotekwa, kupotezwa na kuuawa na baadhi ya mafisi na wahuni kama wabongo wako uliokufa ukiwalilia. Hebu tujuzane kifalsafa mafala wafulie. Kwa sasa, tuna uhujumaaa na kujimegeae. Wachache wanajimegea huku wengi wakifa njaa, kwani, hawana…

Read More

Tuwapate kina Raila wengine | Mwananchi

Wiki ijayo tunakwenda kupiga kura kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa nchi yetu. Tumeshuhudia kampeni za moto, vuguvugu na baridi katika kuelekea huko. Vipo vyama vilivyofanya kampeni za nguvu sana, vingine vilifanya kwa kuchechemea, na vilivyobaki havikufanya kabisa. Ya kusemwa yamesemwa na ya kusikilizwa yamesikilizwa, hatimaye sasa wananchi wapo tayari kwenda kituoni kuzungumza na boksi la kupigia…

Read More

Tatu kali kupigwa Ligi Kuu Bara leo

LIGI Kuu Bara inaendelea leo Jumatano na kuna mechi tatu za kibabe kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa 3:00 usiku. Katika mechi hizo, zinakutana timu ambazo hazijaachana sana nafasi na pointi, hivyo kufanya kuwa na ushindani mkubwa kwa kila moja kuhitaji ushindi. Kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, TRA United itakuwa mwenyeji wa…

Read More

Vikao vitatu vizito Yanga, kocha mpya ndani

UNAJUA nini? Lazima Silver Strikers wafe kwa Mkapa. Hiyo ndiyo kauli inayombea mitaa ya Twiga na Jangwani yalipo maskani ya Yanga ambapo mashabiki wameungana na uongozi kuhakikisha kwamba wanalipiza kisasi kwa kuifumua timu hiyo kutoka Malawi ili wafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga imeingia kazini kuanza hesabu za kupindua meza dhidi…

Read More