
DK SAMIA AAHIDI SERIKALI KUENDELEA KUSIMAMIA UTAWALA BORA NCHINI,ASISITIZA HAKI
Na Said Mwishehe,Michuzi TV. MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya sita imefanya kazi kubwa kusimamia utawala bora na kwa sasa hakuna haki ya mtu inayopotea kwa sasa. Akizungumzia Oktoba 22,2024 akiwa katika mkutano wa kampeni wa kuomba kura kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 mwaka huu Dk.Samia…